Isaiah 65:13

13 aKwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi: “Watumishi wangu watakula,
lakini ninyi mtaona njaa;
watumishi wangu watakunywa
lakini ninyi mtaona kiu;
watumishi wangu watafurahi,
lakini ninyi mtaona haya.
Copyright information for SwhKC